Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 77:10-11

Zaburi 77:10-11 NEN

Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu: lakini nitakumbuka miaka ya mkono wa kuume wa Aliye Juu Sana.” Nitayakumbuka matendo ya BWANA; naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha