Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 14:2-3

Zaburi 14:2-3 NENO

BWANA anawachungulia wanadamu kutoka mbinguni aone kama kuna mwenye hekima, yeyote anayemtafuta Mungu. Wote wamepotoka, wote wameoza pamoja; hakuna atendaye mema, naam, hakuna hata mmoja!