Zaburi 14:2-3
Zaburi 14:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu anawaangalia wanadamu kutoka mbinguni, aone kama kuna yeyote mwenye busara, kama kuna yeyote anayemtafuta Mungu. Lakini wote wamekosa, wote wamepotoka pamoja; hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Shirikisha
Soma Zaburi 14Zaburi 14:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Toka mbinguni BWANA aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye hekima, Amtafutaye Mungu. Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja, Hakuna atendaye mema, La! Hata mmoja.
Shirikisha
Soma Zaburi 14