Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:28-29

Zaburi 119:28-29 NENO

Nafsi yangu imechakazwa kwa huzuni, uniimarishe sawasawa na neno lako. Niepushe na njia za udanganyifu, kwa neema unifundishe sheria zako.