Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:28-29

Zaburi 119:28-29 SRUV

Nafsi yangu imeyeyuka kwa huzuni, Unitie nguvu sawasawa na neno lako. Uniondolee njia ya uongo, Unineemeshe kwa sheria yako.

Soma Zaburi 119