Zaburi 116:1-2
Zaburi 116:1-2 NENO
Nampenda BWANA kwa maana amesikia sauti yangu; amesikia kilio changu ili anihurumie. Kwa sababu amenitegea sikio lake, nitamwita siku zote za maisha yangu.