Zaburi 116:1-2
Zaburi 116:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nampenda Mwenyezi-Mungu, kwa maana anisikia, maana amesikia kilio cha ombi langu. Yeye amenitegea sikio, hivyo nitamwomba muda wote niishio.
Shirikisha
Soma Zaburi 116Zaburi 116:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haleluya. Nampenda BWANA kwa kuwa anaisikiliza Sauti yangu na dua zangu. Kwa maana amenitegea sikio lake, Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote.
Shirikisha
Soma Zaburi 116Zaburi 116:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Haleluya. Nampenda BWANA kwa kuwa anaisikiliza Sauti yangu na dua zangu. Kwa maana amenitegea sikio lake, Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote.
Shirikisha
Soma Zaburi 116