Zaburi 103:5-6
Zaburi 103:5-6 NEN
atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai. BWANA hutenda haki, naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa.