Mithali 6:27-28
Mithali 6:27-28 NENO
Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua? Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto bila miguu yake kuungua?