Methali 6:27-28
Methali 6:27-28 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, waweza kuweka moto kifuani na nguo zako zisiungue? Je, waweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zako zisiungue?
Shirikisha
Soma Methali 6Methali 6:27-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Mtu aweza kuchukua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe? Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto, Na nyayo zake zisiungue?
Shirikisha
Soma Methali 6