Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 26:18-19

Mithali 26:18-19 NENO

Kama mwendawazimu atupaye mishale ya moto ya kufisha, ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!”