Methali 26:18-19
Methali 26:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama mwendawazimu achezeavyo mienge, au mishale ya kifo, ndivyo alivyo mtu ampotoshaye jirani, kisha aseme, “Nilikuwa natania tu!”
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama mtu mwenye wazimu atupaye mienge, Na mishale, na mauti; Ndivyo alivyo amdanganyaye mwenzake, Na kusema, Je! Sikufanya mzaha tu?
Shirikisha
Soma Methali 26