Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 23:1-3

Mithali 23:1-3 NENO

Uketipo kula chakula na mtawala, angalia vyema kile kilicho mbele yako, na utie kisu kooni mwako kama ukiwa mlafi. Usitamani vyakula vyake vitamu kwa kuwa chakula hicho ni cha hila.