Methali 23:1-3
Methali 23:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ukiketi kula pamoja na mtawala, usisahau hata kidogo uko pamoja na nani. Zuia sana hamu yako, ikiwa wewe wapenda sana kula. Usitamani vyakula vyake vizuri, maana vyaweza kukudanganya.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utakapoketi kwa chakula pamoja na mtawala, Mwangalie sana yeye aliye mbele yako. Tena ujitie kisu kooni, Kama ukiwa mlafi. Usivitamani vyakula vyake vya anasa; Kwa maana ni vyakula vya hila.
Shirikisha
Soma Methali 23