Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 20:2-3

Mithali 20:2-3 NENO

Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; yeye amkasirishaye hupoteza uhai wake. Ni kwa heshima ya mtu kujitenga ugomvi, bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana.