Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 19:8-9

Mithali 19:8-9 NENO

Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, yeye ahifadhiye ufahamu hustawi. Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, naye amwagaye uongo ataangamia.