Methali 19:8-9
Methali 19:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Ajipatiaye hekima anaipenda nafsi yake; anayezingatia busara atastawi. Shahidi mwongo hatakosa kuadhibiwa; asemaye uongo ataangamia.
Shirikisha
Soma Methali 19Methali 19:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Apataye hekima hujipenda nafsi yake; Ashikaye ufahamu atapata mema. Shahidi wa uongo hakosi ataadhibiwa; Naye asemaye uongo ataangamia.
Shirikisha
Soma Methali 19