Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 18:4-5

Mithali 18:4-5 NENO

Maneno ya kinywa cha mwanadamu ni kina cha maji, bali chemchemi ya hekima ni kijito kinachobubujika. Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu, au kumnyima haki asiye na hatia.