Methali 18:4-5
Methali 18:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno yaweza kuwa chemchemi ya hekima; yenye kilindi kama bahari, kama kijito kinachobubujika. Si vizuri kumpendelea mtu mwovu, na kumnyima haki mtu mwadilifu.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno ya kinywa cha mtu ni kama maji ya vilindi; Kijito kibubujikacho; chemchemi ya hekima. Kukubali uso wake asiye haki si vizuri; Wala kumpotosha mwenye haki hukumuni.
Shirikisha
Soma Methali 18