Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 16:8-9

Mithali 16:8-9 NENO

Afadhali kitu kidogo pamoja na haki kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. Moyo wa mtu huifikiri njia yake, bali BWANA huelekeza hatua zake.