Methali 16:8-9
Methali 16:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Afadhali mali kidogo kwa uadilifu, kuliko mapato mengi kwa udhalimu. Mtu aweza kufanya mipango yake, lakini Mwenyezi-Mungu huongoza hatua zake.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Afadhali mali kidogo pamoja na haki, Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali BWANA huziongoza hatua zake.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Afadhali mali kidogo pamoja na haki, Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali BWANA huziongoza hatua zake.
Shirikisha
Soma Methali 16