Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 14:20-21

Mithali 14:20-21 NENO

Maskini huepukwa hata na majirani zao, bali matajiri wana rafiki wengi. Yeye anayemdharau jirani yake hutenda dhambi, bali amebarikiwa yeye aliye na huruma kwa mhitaji.