Methali 14:20-21
Methali 14:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Maskini huchukiwa hata na jirani yake, lakini tajiri ana marafiki wengi. Anayemdharau jirani yake ni mwenye dhambi, bali ana heri aliye mwema kwa maskini.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maskini huchukiwa hata na jirani yake; Bali tajiri ana marafiki wengi. Amdharauye mwenzake afanya dhambi; Bali amhurumiaye maskini ana heri.
Shirikisha
Soma Methali 14