Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 14:13-14

Mithali 14:13-14 NENO

Hata katika kicheko moyo unaweza kuuma, nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi. Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao, naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake.