Methali 14:13-14
Methali 14:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Huzuni yaweza kufichika katika kicheko; baada ya furaha huja majonzi. Mtu mpotovu atavuna matunda ya mwenendo wake, naye mtu mwema atapata tuzo la matendo yake.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata wakati wa kucheka moyo huwa na huzuni; Na mwisho wa furaha ni uzito wa moyo. Ageukaye moyoni hushiba njia zake mwenyewe; Na mtu mwema ataridhika nafsini mwake.
Shirikisha
Soma Methali 14