Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 13:9-10

Mithali 13:9-10 NENO

Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana, bali taa ya mwovu itazimwa. Kiburi huzalisha magomvi tu, bali hekima hupatikana kwa wale wanaozingatia ushauri.