Methali 13:9-10
Methali 13:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwadilifu hungaa kama taa iwakayo vizuri, lakini waovu ni kama taa inayozimika. Kiburi husababisha tu ugomvi, lakini kwa wanaokubali shauri jema mna hekima.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nuru ya mwenye haki yang'aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika. Kiburi huleta mashindano tu; Bali hekima hukaa nao wanaoshauriana.
Shirikisha
Soma Methali 13