Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 13:24-25

Mithali 13:24-25 NENO

Yeye asiyetumia fimbo yake hampendi mwanawe, bali yeye ampendaye huwa mwangalifu kumwadibisha. Mwenye haki hula hadi akaridhisha moyo wake, bali tumbo la mwovu hutaabika kwa njaa.