Methali 13:24-25
Methali 13:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Asiyemwadhibu mtoto wake hampendi; lakini ampendaye mwanawe humrudi mapema. Mwadilifu anacho chakula cha kumtosheleza, lakini tumbo la waovu hutaabika kwa njaa.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema. Mwenye haki hula akaishibisha nafsi yake; Bali tumbo la mtu mbaya litaona njaa.
Shirikisha
Soma Methali 13