Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 13:2-3

Mithali 13:2-3 NENO

Kutoka tunda la midomo yake, mtu hufurahia mambo mema, bali wasio waaminifu wanatamani sana jeuri. Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake, bali yeye asemaye kwa haraka ataangamia.