Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 10:3-4

Mithali 10:3-4 NENO

BWANA hawaachi waadilifu kukaa njaa, lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu. Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini lakini mikono yenye bidii huleta utajiri.