Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 10:13-14

Mithali 10:13-14 NENO

Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua, lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu. Wenye hekima huhifadhi maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hualika maangamizi.