Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 10:1-2

Mithali 10:1-2 NENO

Mithali za Sulemani: Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, lakini mwana mpumbavu huleta huzuni kwa mama yake. Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai, lakini uadilifu huokoa kutoka mautini.