Methali 10:1-2
Methali 10:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Hizi ni methali za Solomoni: Mtoto mwenye hekima ni furaha ya baba yake; lakini mtoto mpumbavu ni huzuni ya mama yake. Mali iliyopatikana kwa njia mbaya haifai, lakini uadilifu huokoa mtu kutoka kifoni.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye. Hazina za uovu hazifaidii kitu; Bali haki huokoa na mauti.
Shirikisha
Soma Methali 10