Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 4:38-39

Marko 4:38-39 NENO

Yesu alikuwa katika shetri, akiwa analala juu ya mto. Wanafunzi wake wakamwamsha, wakamwambia, “Mwalimu, hujali kama tunazama?” Akaamka, akaukemea ule upepo, akayaambia yale mawimbi, “Uwe kimya! Tulia!” Ule upepo ukatulia, kukawa shwari kabisa.

Video zinazohusiana

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 4:38-39