Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 13:24-25

Marko 13:24-25 NENO

“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, “ ‘jua litatiwa giza nao mwezi hautatoa nuru yake; nazo nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za anga zitatikisika.’