Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:11-12

Mathayo 5:11-12 NENO

“Heri ninyi watu watakapowashutumu, na kuwatesa na kunena mabaya ya aina zote dhidi yenu kwa uongo kwa ajili yangu. Furahini na kushangilia kwa maana thawabu yenu ni kubwa mbinguni, kwa kuwa hivyo ndivyo walivyowatesa manabii waliokuwa kabla yenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 5:11-12