YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 16:1, 2, 3, 4

Mathayo 16:1 NENO

Mafarisayo na Masadukayo wakamjia Yesu na kumjaribu kwa kumwomba awaoneshe ishara kutoka mbinguni.

Mathayo 16:2 NENO

Yesu akawajibu, “Ifikapo jioni, mnasema, ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri, kwa kuwa anga ni nyekundu.’

Mathayo 16:3 NENO

Nanyi wakati wa asubuhi mnasema, ‘Leo kutakuwa na dhoruba, kwa sababu anga ni nyekundu na mawingu yametanda.’ Mnajua jinsi ya kupambanua kule kuonekana kwa anga, lakini hamwezi kupambanua ishara za nyakati.

Mathayo 16:4 NENO

Kizazi kiovu na cha uzinzi kinatafuta ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ishara ya Yona.” Yesu akawaacha, akaenda zake.

Free Reading Plans and Devotionals related to Mathayo 16:1, 2, 3, 4