Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 13:20-21

Luka 13:20-21 NENO

Yesu akauliza tena, “Nitaufananisha ufalme wa Mungu na nini? Unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga hadi wote ukaumuka.”