Luka 13:20-21
Luka 13:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena akauliza: “Nitaulinganisha ufalme wa Mungu na nini? Ni kama chachu aliyoitwaa mama mmoja na kuichanganya pamoja na unga madebe mawili na nusu kisha unga wote ukaumuka.”
Shirikisha
Soma Luka 13Luka 13:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema mara ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu? Umefanana na chachu aliyotwaa mwanamke akaisitiri ndani ya pishi tatu za unga, hata ukachacha wote pia.
Shirikisha
Soma Luka 13