Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 26:6

Walawi 26:6 NEN

“ ‘Nitawapa amani katika nchi, mpate kulala pasipo kutiwa hofu na yeyote. Nitawaondoa wanyama wakali watoke kwenye nchi, nao upanga hautapita katika nchi yenu.