Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 26:1

Walawi 26:1 NEN

“ ‘Msijitengenezee sanamu, au kusimamisha sanamu ya kuchonga, au jiwe la kuabudia, na pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu ili kulisujudia. Mimi ndimi BWANA Mungu wenu.