Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yona 3:1-3

Yona 3:1-3 NEN

Ndipo neno la BWANA likamjia Yona mara ya pili: “Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.” Yona akalitii neno la BWANA naye akaenda Ninawi. Basi Ninawi ulikuwa mji maarufu sana, ilichukua siku tatu kuuzunguka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yona 3:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha