Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 38:6-7

Ayubu 38:6-7 NENO

Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni, wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, na malaika wote walipokuwa wakishangilia kwa furaha?