Yobu 38:6-7
Yobu 38:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, nguzo za dunia zimesimikwa juu ya nini, au nani aliyeliweka jiwe lake la msingi, nyota za asubuhi zilipokuwa zikiimba pamoja, na wana wa Mungu wakapaza sauti za shangwe?
Shirikisha
Soma Yobu 38Yobu 38:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Misingi yake ilikazwa juu ya kitu gani? Au ni nani aliyeliweka jiwe lake la pembeni, Hapo nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, Na wana wote wa Mungu walipopiga kelele kwa furaha?
Shirikisha
Soma Yobu 38