Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 32:21-22

Yeremia 32:21-22 NENO

Uliwatoa watu wako Israeli kutoka Misri kwa ishara na maajabu, kwa mkono wenye nguvu na ulionyooshwa na kwa utisho mkuu. Uliwapa nchi hii uliyokuwa umeapa kuwapa baba zao, nchi inayotiririka maziwa na asali.