Yeremia 32:21-22
Yeremia 32:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maajabu na miujiza uliyowatisha nayo Wamisri, uliwatoa watu wako Misri kwa nguvu zako nyingi na uwezo wako mkuu. Uliwapa nchi hii ambayo uliahidi kuwapa wazee wao, nchi inayotiririka maziwa na asali.
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ukawatoa watu wako, Israeli, katika nchi ya Misri, kwa ishara, na kwa ajabu, na kwa mkono hodari, na kwa mkono ulionyoshwa, na kwa utisho mkuu; ukawapa nchi hii, uliyowaapia baba zao kwamba utawapa, nchi itiririkayo maziwa na asali
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:21-22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ukawatoa watu wako, Israeli, katika nchi ya Misri, kwa ishara, na kwa ajabu, na kwa mkono hodari, na kwa mkono ulionyoshwa, na kwa utisho mkuu; ukawapa nchi hii, uliyowaapia baba zao kwamba utawapa, nchi iliyojaa maziwa na asali
Shirikisha
Soma Yeremia 32