Kutoka 16:3
Kutoka 16:3 NENO
Waisraeli wakawaambia, “Laiti tungekufa kwa mkono wa BWANA huko Misri! Huko tuliketi tukizunguka masufuria ya nyama na tukala vyakula tulivyovitaka, lakini ninyi mmetuleta huku jangwani ili mpate kuua mkutano huu wote kwa njaa.”




