Kutoka 16:3
Kutoka 16:3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Laiti Mwenyezi-Mungu angelituua tulipokuwa nchini Misri ambako tulikaa, tukala nyama na mikate hata tukashiba. Lakini nyinyi mmetuleta huku jangwani kuiua jumuiya hii yote kwa njaa!”
Shirikisha
Soma Kutoka 16Kutoka 16:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wana wa Israeli wakawaambia, Laiti tungalikufa kwa mkono wa BWANA katika nchi ya Misri, hapo tulipoketi karibu na zile sufuria za nyama, tulipokula vyakula hata kushiba; kwani mmetutoa huko na kututia katika bara hii, ili kutuua kwa njaa kusanyiko hili lote.
Shirikisha
Soma Kutoka 16Kutoka 16:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Kutoka 16