Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 4:30-31

Kumbukumbu 4:30-31 NENO

Mnapokuwa katika dhiki, nayo mambo haya yote yamewatokea siku hizo, ndipo mtamrudia Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na kumtii. Kwa maana Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ni Mungu mwenye huruma, hatawaacha au kuwaangamiza wala kusahau agano alilofanya na baba zenu, alilowathibitishia kwa kiapo.